Tuesday, March 12, 2013

Barcelona yaisambaratisha AC Milan 4 - 0

Wachezaji wa Barcelona wakifurahia baada ya kupata goli

David Villa akishangilia baada ya kufunga goli dhidi ya AC Milan

David Villa kulia wa Barcelona na Kelvin Costant wa AC Milan wakiwa kazini

Gerrald Pique wa Barcelona akifurahia moja ya magoli yaliyofungwa na Barcelona dhidi ya AC Milan

Lionel Messi wa Barcelona  akijaribu kumchomoka Kevin Costant wa AC Millan

Prince Boateng wa AC Milan akihuzunika baaada ya kufungwa na Barcelona

Lionel Messi akifurahia baada ya kufunga goli dhidi ya AC Milan

Philippe Mexes wa AC Milan akishangaa  baada ya kufungwa na Barcelona

Gerrald Pique  (kulia) na wenzanke akifurahia moja ya magoli yalifungwa na Barcelona

No comments:

Post a Comment