Tuesday, July 5, 2011

Simba leo kufa na kupona robo fainali Kagame Cup

Leo Simba ya Tanzania ina kibarua kigumu pale itakapokuna na Bunamwaya ya Uganda katika mechi kali ya robo fainali itakayochezwa katika Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam Tanzania.

Wachezaji wa Simba

Pamoja na kuwa imeingia robo fainali ikiwa haijafungwa wala kupoteza mchezo hata mmoja Simba inakabiliwa na udhaifu mkubwa katika safu ya ushambuliaji ambao wameshindwa kupachika magoli ya kutosha. Hadi wanaingia robo fainali simu imefunga magoli 3 katika mechi nne ilizocheza.













No comments:

Post a Comment