Wednesday, July 6, 2011

Yanga yaifuata nyayo za Simba yaingia nusu fainali Kagame Cup

Yanga ineingia nusu fainali ya Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati Kagame Cup baada ya kuifunga Red Sea ya Eritrea kwa mikwaju ya penati 6 - 5 baada ya kumaliza dakika 90 bila kufungana

Nayo St. George imeingia nusu fainali baada ya kuifunga Vitalo ya Burundi 2 - 0

picha za mechi  hizo zitakuja hivi karibuni

No comments:

Post a Comment